Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Viashiria vya Ugonjwa wa surua Pamoja na utapiamlo kwa watoto, miongoni mwa zaidi ya Watu 140,000 jimbo la White Nile Sudan

Mpaka Sasa,Zaidi ya watu 140,000 wengi wao wakiwa raia wa Sudan Kusini wamewasili katika jimbo la White Nile tangu mzozo ulipozuka nchini #Sudan.

Na kwenye baadhi ya Kambi ambako watu wanajihifadhi wamezidiwa, huku kukiwa na Viashiria vya Ugonjwa wa surua Pamoja na utapiamlo miongoni mwa watoto.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.