Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Benki ya dunia yasitisha mikopo Uganda kufuatia sheria ya ushoga nchini humo

“Sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja ya Uganda kimsingi inakinzana na maadili ya Benki ya Dunia,”

Benki ya Dunia imetangaza kusitisha mikopo mipya kwa Uganda kutokana na sheria tata ya nchi hiyo dhidi ya LGBTQ (Lesbian,Gay, Bisexul, Transgender, Queer)

Benki hiyo yenye makao yake mjini Washington, DC Marekani , ilisema Jumanne kwamba itasitisha ufadhili wa miradi ikisubiri tathmini ya hatua ilizoanzisha ili kulinda walio wachache kijinsia dhidi ya ubaguzi na kutengwa katika miradi yake.

“Tunaamini maono yetu ya kutokomeza umaskini duniani yanaweza tu kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali rangi au jinsia .

Sheria hii inadhoofisha juhudi hizo. Kujumuika pamoja na kutobaguliwa ndio msingi wa kazi yetu duniani kote.

 

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.