Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

#Kandanda: Kiungo wa Manchester City Rodri amesema klabu hiyo bado ina hamu ya kushinda mataji zaidi

#Kandanda: Kiungo wa Manchester City Rodri amesema klabu hiyo bado ina hamu ya kushinda mataji zaidi wakati wanapojiandaa kumenyana na Sevilla kwenye fainali ya Kombe la UEFA Super Cup.

Vijana wa Pep Guardiola hata hivyo watazikosa huduma za nyota wao Kevin de Bruyne ambaye atakuwa nje kwa muda wa miezi minne kutokana na jeraha la msuli wa nyuma ya paja.

Fainali hiyo itachezwa katika uwanja wa Georgios Karaiskakis ulioko katik mji wa bandari wa Ugiriki wa Piraeus.

Unauonaje mchezo huo wa fainali? Tuandikie ubashiri wako.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.