Magonjwa
Kwa Yevheniya, mama huyu mdogo, kumnyonyesha mtoto Yehor ilikuwa njia ya kumfariji wakati wa vita nchini #Ukraine
Kwa Yevheniya, mama huyu mdogo, kumnyonyesha mtoto Yehor ilikuwa njia ya kumfariji wakati wa vita nchini #Ukraine.
Kila king’ora kiliposikika, Yevheniya alimfunga mtoto wake na kukimbilia chumba cha chini ambako alimnyonyesha.
“Nikiwa nimemshika mikononi mwangu wakati wa kurusha makombora, nilikuwa na hofu kila wakati na kufikiria ni nini kingeweza kumpata,” anasema.
Wazo pekee lililonifanya kufurahi ni kwamba angalau nina fursa ya kumlisha.
#BreastFeedingWeek