News
Mhe.Samia Suluhu awakaribisha Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka Marekani
Mhe.Samia Suluhu awakaribisha Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka Marekani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe @SuluhuSamia awakaribisha Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka Marekani kuja nchini Tanzania kwa ajili ya utoaji wa huduma za matibabu ya kubadilisha nyonga na goti, BUREEE!!!
Huduma zitatolewa na jopo la madaktari hao bingwa wa mifupa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Center, Tarehe 11-17 Agosti, 2023. Wananchi wote mnakaribishwa
#tunaboreshaafya #mtuniafya