News
Soma kwa nini watu wafupi hawasajiliwi jeshini:Jonah Mwangi,KENYA
Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi(Vice Chief of Defence) nchini Kenya Luteni Jenerali Jonah Mwangi amefichua ni kwa nini watu wafupi hawasajiliwi jeshini kwani urefu ni kipengele muhimu wakati wa kuajiri.
Alisema ili mtu aruhusiwe kujiunga na disciplined forces, mwanamke anatakiwa kuwa na urefu wa futi 5 na kuendelea huku mwanamume awe na futi tano na inchi tatu na kuendelea.
Soma Maelezo Zaidi hapa kwa Picha?
#starkenyanews