Afrika kuchangia takriban 95% ya visa vyote vya malaria mnamo 2021, huku Nigeria ikichangia karibu 27%
Afrika kuchangia takriban asilimia 95% ya visa vyote vya malaria mnamo mwaka 2021, huku Nigeria pekee ikichangia karibu asilimia 27%.
WHO: Takwimu zinaonyesha Afrika ilichangia takriban asilimia 95% ya visa vyote vya malaria mnamo mwaka 2021.
Ingawa nchi ya Nigeria inachangia karibu asilimia 27% kwenye kesi hizo za malaria, hata hivo nchi hii imepata maendeleo makubwa ikilinganishwa na takwimu za huko nyuma.
” Africa accounted for about 95% of all #malaria cases in 2021. While Nigeria accounts for around 27% of the global burden of malaria cases, the country has made notable advancements”.
Africa accounted for about 95% of all #malaria cases in 2021. While Nigeria accounts for around 27% of the global burden of malaria cases, the country has made notable advancements.
— Dr Matshidiso Moeti (@MoetiTshidi) September 11, 2023