Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

India imefanikiwa kuzindua misheni yake ya kwanza ya kutazama Jua

India imefanikiwa kuzindua misheni yake ya kwanza ya kutazama Jua.

Inakuja siku chache baada ya nchi hiyo kuweka historia kwa kutua karibu na ncha ya kusini ya Mwezi.

Aditya-L1 itakuwa kilomita milioni 1.5 (maili milioni 93) kutoka kwa Dunia, ambayo ni 1% tu ya umbali kati ya Dunia na Jua.

Shirika la anga za juu la India lilisema itachukua miezi minne kusafiri umbali huo.

 

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.