Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Kampeni Maalum Ya Utoaji Wa Chanjo Ya Matone Dhidi Ya Ugonjwa Wa Polio

Kampeni Maalum Ya Utoaji Wa Chanjo Ya Matone Dhidi Ya Ugonjwa Wa Polio.

Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Wadau wa Chanjo imeandaa Kampeni Maalum ya utoaji wa chanjo ya matone kwa watoto chini ya umri wa miaka 8 dhidi ya ugonjwa wa Polio kwa lengo la kukinga na kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Polio kwa watoto kutokana na mwingiliano wa kijamii baina ya Tanzania na nchi jirani zenye mlipuko wa Polio.

Kampeni hii itafanyika katika mikoa ya Rukwa, Katavi, Songwe, Mbeya, Kigoma, Kagera kuanzia TAREHE 21 -24 Septemba 2023.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.