Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Nyakati Muhimu za Kunawa Mikono

Nyakati Muhimu za Kunawa Mikono

1.Baada ya kutoka chooni.
2.Kabla na baada ya kula.
3.Kabla ya kumnyonyesha au kumlisha mtoto.
4.Kabla ya kuandaa Matunda na mbogamboga.
5.Kabla na baada ya kuaanda chakula
6.Baada ya kumsafisha mtoto aliyejisaidia.
7.Baada ya kumhudumia mgonjwa.

 

Forum Manager

Content creator&editor (Ms.Asifiwe)Jukumu langu kwako ni kuhakikisha unapata elimu ya kutosha pamoja na Updates mbali mbali ndani ya http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.