Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Tiba ya HIV iko tayari kwa ajili ya Majaribio

Tiba ya HIV iko tayari kwa ajili ya Majaribio

Majaribio ya tiba ya virusi vya ukimwi (VVU) yanatarajiwa kuanza nchini Denmark kabla ya mwisho wa mwaka.

Matokeo ya majaribio ya awali ya maabara yaliyofanywa na timu mbili za wanasayansi wa Australia na Denmark yanatia moyo kuhusu matumaini ya kupata dawa.

Watafiti wamegundua kuwa dawa inayotumiwa kutibu saratani ya damu inaweza kuua seli za VVU.

Dawa ya Oncologic venetoclax ina uwezo wa kuchunguza “seli” katika mwili wa binadamu ambazo zinaathiriwa vibaya na virusi.

Vidonge vyenye jina la kibiashara la VENCLEXTA vilitengenezwa awali ili kupambana na saratani ya damu.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.