Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Waziri Mkuu ameshiriki sherehe za uapisho za Rais mteule wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki sherehe za uapisho za Rais mteule wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa zilizofanyika katika uwanja wa Harare, Zimbabwe.

Rais Mnangagwa ameshinda uchaguzi huo kwa kura zaidi ya milioni 2.3 kati ya kura milioni 4.4 zilizopigwa sawa na asilimia 52.6 dhidi ya mpinzani wake Nelson Chamisa ambaye alipata kura milioni 1.9 sawa na asilimia 44.

Ushindi huo unamfanya Mnangagwa kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha pili cha miaka mitano.

Waziri Mkuu Majaliwa amemwakilisha Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika uapisho huo.

DailyStories

Karibu DailyStories Kwa Taarifa Zote Muhimu ndani na Nje. More Updates everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me  Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.