Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Wazazi tusiwalazimishe watoto wetu kusoma udaktari-Waziri Ummymwalimu

“Kila mtarajali (intern) anataka kubaki Mkoa wa Dar es Salaam, tunataka kuona watarajali pia wanakwenda katika Mikoa mingine, watarajali hawa ni  muhimu sana katika kutoa huduma ” Waziri @ummymwalimu

“Watarajali (interns) waliofeli mtihani wanatakiwa kurudia mtihani hiyo kadri ya miongozo ya Baraza la Madaktari la Tanganyika (MCT) inavyoelekeza. Mtarajali anaweza kurudia mtihani mara tatu na akifeli mara zote anatakiwa kurudi ‘Internship’ kwa muda wa miezi sita” Waziri @ummymwalimu

“Wazazi tusiwalazimishe watoto wetu kusoma udaktari, tuwaache watoto wenyewe wapende maana udaktari ni kazi ambayo mtu anatakiwa aipende mwenyewe” Waziri @ummymwalimu

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.