Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

UGONJWA WA BRUCELLA(chanzo,dalili na tiba)

 BRUCELLA

• • • • •

UGONJWA WA BRUCELLA(chanzo,dalili na tiba)

Huu ni ugonjwa ambao kwa kitaalam hujulikana kama brucellosis,

na chanzo chake ni bacteria wanaojulikana kwa jina la Brucella,

bacteria hawa hutokea kwa wanyama, hivo ugonjwa huu huambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu.

CHANZO CHA UGONJWA WA BRUCELLA

Hivo chanzo cha ugonjwa wa brucellosis ni bacteria wanaojulikana kwa jina la brucella, ambao husambaa kutoka kwa wanyama mbalimbali kama vile Ng’ombe na kwenda kwa binadamu

•Soma: Ugonjwa wa Wengu,Chanzo,Dalili pamoja na Matibabu yake

DALILI ZA UGONJWA WA BRUCELLA NI PAMOJA NA;

– Joto la mwili la mgonjwa kupanda au mgonjwa kuwa na homa

– Mgonjwa kupata maumivu makali ya mgongo

– Mgonjwa kuhisi vitu vinatembea mwilini,na wakati mwingine kwenye njia ya haja kubwa mithili ya mtu mwenye minyoo

– Mgonjwa kuhisi hali ya kichefuchefu pamoja na kutapika

– Kupata maumivu ya joint,misuli pamoja na viungo vya mwili

– Mgonjwa kuhisi uchovu wa mwili usio wa kawaida

– Uzito wa mwili kupungua kwa mgonjwa

– Mgonjwa kupata maumivu makali ya kichwa

– Mgonjwa kupatwa na hali ya kutoa jasho jingi mwilini wakati wa usku

– Mgonjwa kukosa kabsa hamu ya chakula

– Mgonjwa kupatwa na kikohozi cha mara kwa mara

– Mgonjwa kuumwa na tumbo

– Mgonjwa kupata rashes kwenye ngozi yake ya mwili

– Mwili kuwa dhaifu sana pamoja na kukosa nguvu

VIPIMO VYA UGONJWA WA BRUCELLA

Kulingana na hali ya mgonjwa pamoja na dalili ambazo zinajitokeza kwake,

Mambo mbali mbali huweza kufanyika kama hatua ya kwanza kabsa ili kufahamu chanzo halisi cha Ugonjwa wako,

mambo hayo ni Pamoja na;

  • Mgonjwa kuelezea historia ya ugonjwa wake jinsi ulivyoanza(Patient history taking)
  • Kufanya vipimo mbali mbali ikiwemo,
  • Kipimo cha Damu(Blood tests)
  • Kuchek Joto la Mwili
  • Kupima presha(blood pressure)
  • Uzito wa mgonjwa(body weight)
  • Sukari n.k

MATIBABU YA UGONJWA WA BRUCELLA

Zipo dawa mbali mbali ambazo hutumika kutibu ugonjwa huu wa brucellosis,

•Soma: Ugonjwa wa Wengu,Chanzo,Dalili pamoja na Matibabu yake

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

2 Comments