HALI YA SASA YA MAAMBUKIZI YA VVU DUNIANI
UKIMWI
• • • • •
?HALI YA SASA YA MAAMBUKIZI YA VVU DUNIANI
?Mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2019 watu wapatao million 40 wanaishi na VVU
?Kwa mwaka 2019 pekee kumekua na maambukizi mapya ya VVU yapatayo million 2
?Kwa mwaka 2019 pekee watu wapatao 900000 wenye VVU walipoteza maisha
?Watu wapatao milioni 25 wenye VVU mpaka kufikia mwishoni wa mwezi juni 2020 wanatumia dawa za ARV
?Watu wapatao milioni 100 wameambukizwa VVU toka ugonjwa huu utambulike rasmi mnamo mwaka 1981
?Watu wapatao milioni 40 wenye VVU wamepoteza maisha toka ugonjwa huu utambulike rasmi mnamo mwaka 1981
?Kila wiki wanawake 5500 wenye umri kati ya miaka 15-25 hupata maambukizi mapya ya VVU
KWA TANZANIA
?Watu wapatao 200 hupata maambukizi mapya ya VVU kila siku
?Watu 8 hupata maambukizi ya VVU kila saa
Hii ni kwa mujibu wa TACAIDS na UNAIDS 2020
TUCHUKUE TAHADHARI. INAKUSUBIRI DUNIA NA INAKUTEGEMEA PIA.
KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Karibu Sana..!!!