Ubongo wako unaweza kuathiriwa ufanyaji kazi wake na hata Unavyoonekana kwa Kunywa Pombe sana,Tazama Hapa
Ubongo wako unaweza kuathiriwa ufanyaji kazi wake na hata Unavyoonekana kwa Kunywa Pombe sana,Tazama Hapa,
• Ubongo wa Mtu mwenye umri wa Miaka 43 asiyekunywa Pombe
• Na Ubongo wa Mtu mwenye umri wa Miaka 43 anayekunywa Pombe
Licha ya madhara mengi yanayotokana na Unywaji wa Pombe,
Moja ya Viungo ambavyo huathiiriwa zaidi ni Pamoja na Ubongo,Figo na Ini
Ikiwa unakunywa sana kwa muda mrefu, pombe inaweza kuathiri jinsi ubongo wako unavyoonekana na kufanya kazi.
Seli zake huanza kubadilika na hata kuwa ndogo. Pombe nyingi sana zinaweza kupunguza ubongo wako,
– Hali hii huweza kuathiri kwa kiwango kikubwa utendaji kazi wa ubongo,
– Ikiwemo matatizo kama vile ya kupoteza kumbukumbu n.k
Matumizi ya Pombe kupita Kiasi sio Salama kwa afya yako..
SOMA ZAIDI HAPA: Madhara ya Pombe Mwilini
Elimu Nzuri sana,asante mnatuelimisha mno
asante sana,tupo pamoja