Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Ugonjwa Wa Ngozi kusinyaa(Scleroderma),Chanzo,Dalili Na Tiba

Ugonjwa Wa Ngozi kusinyaa(Scleroderma),Chanzo,Dalili Na Tiba

Fahamu kuhusu Ugonjwa wa ngozi kusinyaa(Scleroderma),chanzo chake,dalili,pamoja na matibabu yake ndani ya makala hii.

Ugonjwa wa ngozi kusinyaa(Scleroderma)

Scleroderma,Huu ni ugonjwa ambao huhusisha ngozi ya Binadamu kuwa na manundu manundu pamoja na mikunjo kwenye maeneo mbali mbali ya mwili wa binadamu,ugonjwa huu wa ngozi kusinyaa ulianza kwenye miaka ya 1905,

Maeneo ambayo huathiriwa sana na Ugonjwa wa ngozi kusinyaa(Scleroderma) ni pamoja na;

  • Kwenye paji la uso,
  • Maeneo ya shingoni,
  • mikononi,
  • miguuni
  • Pamoja na kwenye mapaja.

Ugonjwa huu wa ngozi kusinyaa huwapata sana watu wenye umri wa kati ya miaka 30 na 50

CHANZO CHA UGONJWA WA NGOZI KUSINYAA

Je, chanzo cha Ugonjwa wa ngozi kusinyaa(Scleroderma) ni nini?

– Chanzo halisi cha ugonjwa wa ngozi kusinyaa bado hakijulikani, japo baadhi ya tafiti zimehusisha ugonjwa huu wa ngozi kusinyaa(scleroderma) pamoja na tatizo la Kansa au Saratani kwenye Mifupa yaani Bone marrow Cancer,

Au tunazungumzia saratani kama vile;

  • Myeloma,
  • Lymphoma,
  • Leukemia n.k

Dalili za Ugonjwa wa ngozi kusinyaa(Scleroderma)

DALILI ZA UGONJWA WA NGOZI KUSINYAA NI PAMOJA NA;

• Ngozi ya Binadamu kuwa na manundu manundu pamoja na mikunjo kwenye maeneo mbali mbali ya mwili wa binadamu kama vile; kwenye paji la uso,shingoni,mikononi,miguuni na kwenye mapaja.

• Pia ugonjwa wa ngozi kusinyaa huweza kuambatana na matatizo mengine kama vile;

– Kushindwa kusinyaa kwa misuli ambayo inasaidia mtu kumeza kitu tatizo ambalo hujulikana kama Esophageal aperistalsis

– Mtu kupatwa na matatizo ya macho yaani Eye abnormalities

– Mtu kushindwa kupumua vizuri n.k

MATIBABU YA Ugonjwa wa ngozi kusinyaa(Scleroderma),

✓ Kuna huduma mbali mbali za kimatibabu kwa mtu mwenye ugonjwa wa ngozi kusinyaa ikiwemo;

• Mgonjwa kupata dawa za Intravenous Immunoglobilin(IVIG)

• Plasmaphereis kama matibabu ya muda mfupi yaani short-term

• Mgonjwa kupewa Thalidomide pamoja na Systemic Glucocorticoids, N.k

FAQs: Maswali ambayo huulizwa Mara kwa Mara

[sc_fs_faq html=”true” headline=”h3″ img=”” question=”Je, chanzo cha Ugonjwa wa ngozi kusinyaa(Scleroderma) ni nini? ” img_alt=”” css_class=””] Chanzo halisi cha ugonjwa wa ngozi kusinyaa bado hakijulikani, japo baadhi ya tafiti zimehusisha ugonjwa huu wa ngozi kusinyaa(scleroderma) pamoja na tatizo la Kansa au Saratani kwenye Mifupa yaani Bone marrow Cancer, [/sc_fs_faq]

Hitimisho

Ugonjwa wa ngozi kusinyaa(Scleroderma),ni ugonjwa ambao huhusisha ngozi ya Binadamu kuwa na manundu manundu pamoja na mikunjo kwenye maeneo mbali mbali ya mwili wa binadamu,

– Chanzo halisi cha ugonjwa wa ngozi kusinyaa bado hakijulikani, japo baadhi ya tafiti zimehusisha ugonjwa huu wa ngozi kusinyaa(scleroderma) pamoja na tatizo la Kansa au Saratani kwenye Mifupa yaani Bone marrow Cancer,

Au tunazungumzia saratani kama vile;

  • Myeloma,
  • Lymphoma,
  • Leukemia n.k

DALILI ZA UGONJWA WA NGOZI KUSINYAA NI PAMOJA NA;

• Ngozi ya Binadamu kuwa na manundu manundu pamoja na mikunjo kwenye maeneo mbali mbali ya mwili wa binadamu kama vile; kwenye paji la uso,shingoni,mikononi,miguuni na kwenye mapaja.

• Pia ugonjwa wa ngozi kusinyaa huweza kuambatana na matatizo mengine kama vile;

– Kushindwa kusinyaa kwa misuli ambayo inasaidia mtu kumeza kitu tatizo ambalo hujulikana kama Esophageal aperistalsis

– Mtu kupatwa na matatizo ya macho yaani Eye abnormalities

– Mtu kushindwa kupumua vizuri n.k

Ukiona dalili kama hizi,hakikisha unakwenda hospital kwa ajili ya UCHUNGUZI Zaidi,

AU KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.