Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Ripoti mpya: Inakadiriwa kuwa watoto milioni 13.4 Kuzaliwa mapema sana

Ripoti mpya: Inakadiriwa kuwa watoto milioni 13.4 Kuzaliwa mapema sana

Ripoti mpya: Inakadiriwa kuwa watoto milioni 13.4 walizaliwa mapema sana mnamo 2020, na karibu milioni 1 wakifa kutokana na matatizo yanayohusiana nayo.

Hii ina maana kwamba mtoto 1 kati ya 10 huzaliwa mapema (kabla ya wiki 37 za ujauzito) duniani kote

Hii ni kwa mujibu wa shirika la afya duniani(WHO).

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.