Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Ishara  huenda mtu anafikiria kujiua;Video

Ishara  huenda mtu anafikiria kujiua;

Fahamu moja ya matatizo makubwa yanayoikumba dunia ni pamoja na hili la watu kujiua au kujitoa mhanga yaani “Suicide”

Shirika la Afya Duniani(WHO) limetupa baadhi ya Ishara ambazo kwa haraka huweza kukusaidia kujua mtu anataka kujiua au kujitoa mhanga(suicide),

Ishara  huenda mtu anafikiria kujiua;

Ishara  ambazo huweza kukuonyesha mtu anafikiria kujiua ni pamoja na;

✓ Kuwa na Mabadiliko makali ya mood au hali yake kwa ujumla(Severe mood changes)

✓ Kujitenga na watu anaowapenda/wapendwa(Withdrawal from loved ones)

✓ Kusema mambo kama “Hakuna mtu atakayenimiss nikienda”(Saying things like”No-one will miss me when I’m gone”)

✓ Kuonyesha mawazo au mipango kuhusu kukatisha maisha yake(Expressing thougths or plans about ending their life) n.k

#SpeakUp4Life #who

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.