Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAGONJWA YA ZINAA(SEXUAL TRANSMMITED DISEASES-STD’s)

MAGONJWA YA ZINAA AU KWA KITAALAM SEXUAL TRANSMITTED DISEASES-STD’s; haya ni magonjwa ambayo huenezwa kwa njia ya kufanya mapenzi, na magonjwa haya hutokana na mashambulizi ya vimelea mbali mbali vya magonjwa kama vile BACTERIA, VIRUSI,PARASITES n.k

 

HII HAPA CHINI NI ORODHA YA BAADHI YA MAGONJWA YA ZINAA(STD’s)

 

1. Ugonjwa wa Masundosundo yaani Genital Warts ambao husababishwa na kirusi aitwaye HUMAN PAPILLOMA VIRUS(HPV)

 

2. Tatizo la Genital Herpes/Genital shingles au kwa jina lingine Herpes Simplex

 

3. Ugonjwa wa Chlamydia

 

4. Ugonjwa wa Kaswende au Kwa kitaalam hujulikana kama Syphilis

 

5. Ugonjwa wa Kisonono maarufu kama Gono au Gonorrhea

 

6. Maambukizi ya Ukimwi HIV/AIDS

 

7. Tatizo la Trichomoniasis

 

8. Tatizo la Bacterial Vaginosis

 

9. Tatizo la Hepatitis

 

10. Tatizo la Pubic Lice N.k

 

•Soma kwa kina zaidi hapa: Kuhusu Magonjwa ya Zinaa

 

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.