Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
afyatipsMagonjwamagonjwa ya wanaumemagonjwa ya wanawakemagonjwa ya watoto

MWANAMKE KUWA NA SAUTI YA KIUME INAASHIRIA NINI?

AFYA YAKO

• • • • • •

MWANAMKE KUWA NA SAUTI YA KIUME INAASHIRIA NINI?


MUHIMU SANA(soma hapa)


Kama wewe ni mwanamke au una ndugu yako wa kike ambae sauti yake imeanza kubadilika na na kua ya base au ya kiume basi jua sio jambo LA kawaida na unahitaji matibabu.


Kua na sauti ya kiume inaashiria kuwepo kwa mvurujiko wa vichocheo na hata upungufu wa nguvu za kike.


Mwanamke kama una sauti ya kiume jitazame na ukijiona una UZITO mkubwa,una garden love, una mavuzi ambayo yamepanda hadi kwenye kitovu,ndevu unazo basi Fanya haya haraka.


1) Punguza uzito wako 


2) acha kula nyama za kisasa kama kuku,ngombe ,kitimoto za kisasa.


3) Kimbia hospital na muone Dr ambae atakupima androgen profiles ili usaidiwe.


Mwanamke chukua hatua sasa


Mwanaume chukua hatua kwa ajili ya mwanamke wako na sio utafute mchepuke kwa sababu mpenzi/mke wako mna sauti zinazofanana.. Msaidie atibiwe na awe na sauti nyororo kama mwanzo. Cr@doktamathew



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass