UKIWA NA TUMBO KUBWA,SIO LAZIMA UJIFUNGUE MTOTO MKUBWA.
UKIWA NA TUMBO KUBWA,SIO LAZIMA UJIFUNGUE MTOTO MKUBWA.
Ukiachana na Ukubwa wa mtoto,kuna VITU VINGINE yaan visababishi Vingine vinavyoweza fanya Mama mjamzito AWE na Tumbo KUBWA.
Sababu kama Hizi;
1.Mama k kuwa mnene sana yaan anakuwa na Mafuta mengi Sana kwenye Tumbo lake,kiasi ukubwa wa tumbo watazamaji twaweza ona ni mimba,ila Wataalamu sisi,drs.nurses tukipima lile tumbo kuona ukubwa wa mtoto unakuta mdogo tu,ila Tumbo la Mtu Ni kubwa kwa Muonekano.
2.Mama k kuwa na tumbo lililojaa mfano Ma gesi…..kuna mama k muda wote matumbo yanakuwa na ma gesi,so tumbo lijumla LINAJAA,lakin unakuta Mtoto ni Mdogo Tu.
3.lakin PIA unaweza kuwa na MAJI MENGI yaan maji ambamo mtoto anaishi,AMNIOTIC FLUID inaweza kuwa Nyingi sana ,tunaita POLYHYDRAMNIOS,inatokea wanawake wengine yanakuwa MENGI,lakin unakuta mtoto anakilo hata 2???,ila maji kama yote.
4.Unaweza kuwa una mapacha pia,Hapa tumbo huwa ni Kubwa sanaaa kuliko kawaida,unakuta mimba ya miezi minne ila KAMA una Mimba ya miezi 8??
5.Lakin pia,NDIO,mtoto anaweza kuwa MKUBWA kilo kuanzia 3.5 mpaka 5 huko na zaid akafanya tumbo liwe kubwa sana.
Cha muhimu jua kuwa Sababu za Mama k kuwa na tumbo KUBWA ni Nyingi,sio laaazma mtoto awe Mkubwa.
Cc:Uzazipoint #afyaclass
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.