MADHARA YA KUFANYA MAPENZI WAKATI WA PERIOD KWA WANAUME
MADHARA YA KUFANYA MAPENZI WAKATI WA PERIOD KWA WANAUME
madhara ya kufanya tendo la ndoa wakati wa period au hedhi kwa mwanaume.
– Kuwa katika hatari ya kupatwa na shida ya kuziba mrija wa Mkojo
– Maumivu makali wakati wa kukojoa
– maambukizi ya magonjwa mbali mbali ikiwemo UTI n.k
– Kuwa katika hatari yakupata magonjwa hasa hasa katika njia ya mkojo kwani period ni uchafu unaotoka ndani ya mwanamke huku ukiwa na vitu mbali mbali hata vimelea vya magonjwa vikitolewa nje ya mwili.
– Pia Tezi dume huweza kuathirika kutokana na mwanaume kufanya mapenzi mwanamke akiwa siku za period
– Kutokufurahia tendo la ndoa kutokana na kulifanya katika mazingira machafu ya damu,harufu N.k
– Hatari ya kutokumridhisha unayefanya nae tendo la Ndoa
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.