Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

KUFAHAMU BABA WA MTOTO KWA KUTUMIA KIPIMO CHA DNA

 DNA TEST

• • • • • 

KUFAHAMU BABA WA MTOTO KWA KUTUMIA KIPIMO CHA DNA


DNA TEST, ni kipimo ambacho huhusisha upimaji kati ya baba na mtoto ili kujua kwamba mtoto aliyezaliwa Baba yake ni huyu, au kuna mwingine.


Watu huweza kupima DNA ili kujua baba halisi wa mtoto endapo kumetokea hali mashaka ndani yake,


Upimaji wa DNA kati ya Baba na Mtoto hutoa majibu sahihi endapo utafanyika Baada ya Mtoto kuzaliwa,


Na upimaji huu huweza kuhusisha njia mbili; 


– Kuna upimaji wa Kutumia Sample ya mate kutoka mdomoni yaani Cheek swabs, ambapo mate ya mtoto na baba huchukuliwa na kupimwa


– Na kuna upimaji wa kutumia sample ya Damu yaani Blood test,ambapo damu ya mtoto na baba huchukuliwa na kupimwa


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.