Usafi wa Mikono kabla ya Kupaka Dawa(ointment/Cream)
Usafi wa Mikono kabla ya Kupaka Dawa(ointment/Cream)
Moja ya vitu muhimu vya kuzingatia ni Pamoja na usafi wa mikono kabla ya kutumia dawa yoyote,
Hapa nimetolea mfano wa dawa ambazo zipo mfumo wa kupaka yaani ointment au Cream.
Unashauriwa kunawa mikono kwa maji safi, tiririka pamoja na Sabuni,
Hii itakusaidia kuzuia kusambaza uchafu pamoja na vimelea mbali mbali vya magonjwa kutoka mikononi kwenda mwilini.
Hivo jenga Desturi ya kunawa mikono kwa maji safi,tiririka pamoja na Sabuni, kabla ya kuanza kushika na kutumia Dawa Yoyote.
Usafi ni muhimu sana kwako, Zingatia hili..