Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

SUKARI HUHARIBU MENO YA WATOTO

 ?SUKARI+MENO

Sukari huharibu meno ya watoto kwa kiasi kikubwa hasa ile ya kulamba au kula vitu vya Sukari sana kama Pipi.

Baada ya mtoto kula sukari au vitu vya sukari sana,Bacteria wa kinywani huvunja ile sukari na kutengeneza Tindikali au acid ambayo sio salama sana katika afya meno.

Watoto wadogo chini ya miaka mitano huathiriwa zaidi na kula vitu vya sukari kuliko wale wakubwa.

Epuka kumlambisha mtoto sukari au kumpa vitu vya sukari sana kwani huharibu Meno ya mtoto.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!

 

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.