Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

ZIJUE BAADHI YA ATHARI ZA MAJI YA MVUA YASIPOTUMIWA KWA UANGALIFU

 ?ZIJUE BAADHI YA ATHARI ZA MAJI YA MVUA YASIPOTUMIWA KWA UANGALIFU

➡️ Maji ya Mvua

Maji ya Mvua ni Mazuri sana,endapo yatatumiwa kwa Uangalifu hasa hasa katika matumizi ya Binadamu,kama kupikia,kunywa n.k

Lakini yanaweza kuleta athari kama ifuatavyo;

– Maji ya Mvua huweza kubeba uchafu wa kila aina,hata ule ambao upo juu ya bati na kushuka moja kwa moja kwenye chombo cha Maji kama ndoo,visima n.k, Endapo yakatumiwa hivi hivi bila kuchemshwa au kutibiwa na dawa,huweza kuleta Magonjwa kama vile; Kuharisha,Kuumwa na Ugonjwa wa Homa ya matumbo au Typhoid, Kuumwa na Tumbo,Kutapika n.k

– Maji ya Mvua huweza kubeba kemikali za kila aina na Sumu za kila namna ambazo huweza kuleta athari kwa mwili wa Binadamu kama vile,Magonjwa ya Saratani ya Ngozi n.k

– Maji ya Mvua huweza kukusababishia hali ya muwasho wa Ngozi hasa baada ya kutumia kuogea hata bila ya kuyachemsha

– Maji ya Mvua huweza kuleta vikohozi,na Kulipuka kwa ugonjwa wa Pneumonia

ZINGATIA YAFUATAYO WAKATI UNATUMIA MAJI YA MVUA

* Hakikisha Maji ya mvua unayahifadhi kwenye Chombo safi kabla ya kuyatumia

* Hakikisha unachemsha Maji ya Mvua kabla ya kuyatumia

* Yatibu pia kwa Dawa za kutibu maji kama unaweza
.

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.