Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

JINSI YA KUSAFISHA UKE BAADA YA TENDO LA NDOA(soma hapa..!!!)

 AFYA YA UKE

JINSI YA KUSAFISHA UKE BAADA YA TENDO LA NDOA(soma hapa..!!!)

Sehemu za siri  za Mwanamke zimegawanyika katika sehemu kuu mbili.

Kuna sehemu ya nje au Outer part na kuna Sehemu ya ndani yaani Inner part.

Hivo basi hata katika kusafisha uke wako,unatakiwa kuzingatia kwa makini maeneo haya. Sehemu ya ndani pamoja na Nje.

Sehemu ya ndani ya Uke hairuhusiwi kuoshwa au kuguswa na kitu chochote kama sabuni N.K.

Kwani sehemu hii hujisafisha yenyewe na kutoa uchafu nje. Tunasema ni automatic Body Process wala sio kazi yako kuosha hapa.

Hivo sehemu ya kuosha ni sehemu ya Nje ya uke tena kwa uangalifu Mkubwa,

Maana wengine huanza kutumia sabuni zenye kemikali nyingi. Ni hatari kwa afya ya Uke wako.

KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.