Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

UHUSIANO WA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TUMBO KUWA KUBWA SANA WAKATI WA UJAUZITO

FIBROIDS

• • • • • •

UHUSIANO WA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TUMBO KUWA KUBWA SANA WAKATI WA UJAUZITO


Kuna baadhi ya Wanawake hudanganyana kwamba,Mama mjamzito akiwa na tumbo kubwa sana huenda atakuwa na uvimbe kwenye kizazi.


Je dhana hii ina ukweli wowote? Soma hapa..!!


BAADHI YA SABABU ZA MAMA MJAMZITO KUWA NA TUMBO KUBWA SANA


– Mama kupatwa na tatizo la kuwa na kiwango kikubwa sana cha maji(amniotic fluid) au maji kujaa kwenye mji wa mimba hali ambayo kwa kitaalam hujulikana kama polyhydramnios


– Au mtoto kuwa mkubwa sana ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Big baby au macrosomia


UHUSIANO WA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TUMBO KUWA KUBWA SANA WAKATI WA UJAUZITO


– Tafiti za wataalam wa afya zinaonyesha kwamba kadri mama anavyokuwa na Uvimbe mkubwa kwenye kizazi ndipo ukuaji wa mtoto huathiriwa kwa kiasi kikubwa kutokana na kupungua kwa nafasi ambayo huchukuliwa na uvimbe


Hivo bila shaka utakuwa umejua uhusiano wa uvimbe kwenye kizazi pamoja na tumbo la uzazi


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.