Dalili za Mara kwa Mara za Malaria katika Ujauzito
Dalili za Mara kwa Mara za Malaria katika Ujauzito;
Hizi hapa ni dalili ambazo Mara nyingi hutokea kwa Mama Mjamzito mwenye Malaria,
– Kupata Homa
– Kuhisi Kichefuchefu pamoja na kutapika
– Kupata Maumivu ya kichwa
– Kupata Maumivu ya Viungo
– Kupungua kwa hamu ya kula n.k
Hivo ni vizuri zaidi Mama mjamzito kwenda hosptal kufanya vipimo baada ya kuona dalili kama hizi,
Epuka dhana ya kusema hii ni UTI,hivo unaanza dawa za UTI,fanya vipimo kwanza, wakati mwingine unaweza kuwa na ugonjwa wa Malaria.
Wakina mama wajawazito LAZIMA watafute matibabu kutoka katika kituo cha afya ndani ya kipindi cha chini ya saa 24 baada ya dalili za Malaria kuanza.