Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Watalii watakaopata changamoto za afya pindi watakapokuwa Mlima Kilimanjaro kupokelewa na Ndege#Tropic Air

Watalii watakaopata changamoto za afya pindi watakapokuwa Mlima Kilimanjaro kupokelewa na Ndege#Tropic Air.

Hospitali ya Rufaa ya kanda ya kaskazini-KCMC imeingia makubaliano na kampuni ya ndege Tropic Air kupokea watalii watakaopata changamoto za afya pindi watakapokuwa Mlima Kilimanjaro,

#PICHA: Ni Wafanyakazi wa Idara ya Dharura Dkt. Frank Halla,Kelvin Tairo na Dereva Sadiki Wakimpokea mgonjwa(wakwanza kushoto) alieletwa na helikopta kutoka Mlima kilimanjaro.

Credits: #Picha KCMC Habari.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.