Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Afrika kuchangia takriban 95% ya visa vyote vya malaria mnamo 2021, huku Nigeria ikichangia karibu 27%

Afrika kuchangia takriban asilimia 95% ya visa vyote vya malaria mnamo mwaka 2021, huku Nigeria pekee ikichangia karibu asilimia 27%.

WHO: Takwimu zinaonyesha Afrika ilichangia takriban asilimia 95% ya visa vyote vya malaria mnamo mwaka 2021.

Ingawa nchi ya Nigeria inachangia karibu asilimia 27% kwenye kesi hizo za malaria, hata hivo nchi hii imepata maendeleo makubwa ikilinganishwa  na takwimu za huko nyuma.

” Africa accounted for about 95% of all #malaria cases in 2021. While Nigeria accounts for around 27% of the global burden of malaria cases, the country has made notable advancements”.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.