News
KUVAA CONDOM MBILI KWA WAKATI MMOJA SIO SAHIHI
KUVAA CONDOM MBILI KWA WAKATI MMOJA SIO SAHIHI,
Fahamu kwamba kuvaa condom zaidi ya moja,
yaani kuanzia mbili na kuendelea kwa wakati mmoja wakati unafanya tendo la ndoa sio sahihi,
wanaume wengi wamekuwa na dhana hii,kwamba wakivaa condom nyingi ndyo hujikinga zaidi,
Hayo sio matumizi sahihi ya Condom, na hivo ndyo unaharibu zaidi,
Tumia condom moja moja ila kwa usahihi inatosha,
fata kanuni zote za matumizi sahihi ya Condom.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.