Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO CHA TATIZO LA MIGUU KUBABUKA Pamoja na Tiba yake

 MIGUU

• • • • •

CHANZO CHA TATIZO LA MIGUU KUBABUKA Pamoja na Tiba yake


Baadhi ya watu hupatwa na tatizo hili la miguu kubabuka kwenye ngozi yake kwa juu au chini ya miguu, 


na tafiti huonyesha kwamba wanaume wengi ndyo hushambuliwa na tatizo hili kuliko wanawake


CHANZO CHA TATIZO LA KUBABUKA MIGUU


– Mtu kupatwa na Maambukizi ya Fangasi wa miguuni


– Watu ambao hupenda sana kutembea hapo chini


– Watu ambao hupenda sana kutembea kwenye maji mfano; wakulima wa zao la mpunga n.k


– Kutokuwa na Tabia kupaka mafuta kwenye ngozi yako ya miguuni

n.k


MAMBO YAKUEPUKA ILI KUJIKINGA NA TATIZO HILI


– Epuka kutembea hapo chini


– Epuka kuvaa viatu ambavyo ni vibichi au havijakauka vizuri


– Epuka kuvaa soks mbichi


– Vaa buti kama kazi zako zinahusisha kukanya maji kwa muda mrefu


MATIBABU YA TATIZO HILI LA MIGUU KUBABUKA


– Matibabu ya tatizo hili hutegemea na chanzo chake mfano kama tatizo ni fangasi basi mtu hupewa dawa za fangasi kama vile; Clotrimazole cream n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.