Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Je, Kweli Kuna Uhusiano Kati ya Kuwa kwenye Mvua na Kupata Mafua?

Je, Kweli Kuna Uhusiano Kati ya Kuwa kwenye Mvua na Kupata Mafua?

Mafua hutokana na virusi, sio mvua. lakini, kuwa kwenye mvua na baridi kwa muda mrefu kunaweza kupunguza nguvu ya mfumo wako wa kinga ya mwili, na kukufanya uwe na uwezekano wa kupata ugonjwa kama homa,Mafua n.k.

Wakati unakua, unaweza kuwa umesikia kwamba ikiwa unacheza nje kwenye mvua, utakuwa kwenye hatari kubwa ya kupata Mafua. Je, unahitaji kuepuka kupata mafua kwenye mvua?

Kwa kweli, unaweza kuwa na nafasi kubwa ya kupata ugonjwa baada ya kukaa kwa muda mrefu kwenye mvua,

Kuwa kwenye baridi kutokana na kukabiliwa na mvua kwa muda mrefu nje kunaweza kupunguza ufanisi wa mfumo wako wa kinga ya mwili, hivyo kukufanya uweze kuambukizwa virusi vya Mafua kwa urahisi zaidi, lakini hakuna uhakika kwamba utapata mafua.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.